24Mei2013
SERIKALI imelaani vikali vurugu zilizotokea Mtwara juzi na imeapa kuwasaka waasisi wa vurugu hizo ndani na nje ya Mtwara...
KIJANA, ambaye ni mwathirika wa dawa za kulevya, amehadharisha juu ya dawa hizo akisema wote ambao hawajawahi kuzitumia, wasithubutu kufanya hivyo. Shaaban Seleman (30) mkazi wa Mbagala, Temeke amesema madhara ...
KLABU ya Simba imesema iko katika harakati za kufanya usajili kabambe ili k...
SUALA la vurugu za Mtwara zinazoelezwa kuchangiwa na kupinga bomba la gesi ...
JUZI Rais Jakaya Kikwete aliweka jiwe la msingi kwenye moja ya barabara muh...
WANYAMBO ni kabila dogo katika jamii ya wabantu linalopatikana Kaskazini Ma...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imepongezwa kwa kazi kubwa y...
NILIWAHI kusoma hadithi moja kwenye magazeti iliyokuwa inamhusu mkuu mmoja ...
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa pili kushoto mbele) pamoja na mawaziri wenzake (kutoka kulia), Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk David Mathayo, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima, Naibu ...
Soma zaidi...