20Mei2013

 

Mwakilishi wa IMF hapa nchini, Thomas Baunsgaard

IMF yatoa wito kwa Tanzania

SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limeishauri Tanzania kuongeza jitihada katika usimamizi mzuri wa sera, utakaosaidia kukuza uchumi wake na kupunguza tatizo la umasikini wa kipato, linalokabili wananchi wengi.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Oscar Job
  • Imesomwa mara: 68

Hakuna ushirikiano wa halmashauri, wajasiriamali

HALMASHAURI nyingi nchini zimekuwa hazitoi ushirikiano wa kutosha katika kuvitambua vikundi vya ujasiriamali wadogo, kwa kuwapatia hati za utambulisho zitakazosaidia kufungua akaunti za benki na kupata mikopo.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na John Mhala, Arusha
  • Imesomwa mara: 30

TNBC yahitimisha majadiliano kwa wote

BAADA ya kufungwa rasmi kwa Majadiliano ya Ushirikiano kwa Wote katika ngazi ya kanda kwa mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar, Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) limesema mafanikio makubwa yamejitokeza katika ushiriki wa watu katika kutoa mawazo yao.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Zanzibar
  • Imesomwa mara: 22
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi

Wakulima wa Chubi waagizwa kushirikiana na mwekezaji

WAKULIMA katika Kijiji cha Chubi Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma wametakiwa kushirikiana na mwekezaji, anayeendesha shughuli za kilimo ili waweze kujifunza ujuzi na maarifa, anayotumia kwa nia ya kuongeza uzalishaji katika mashamba yao.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Sifa Lubasi, Kondoa
  • Imesomwa mara: 46

Biashara ya kuuza chenji hairuhusiwi

BIASHARA ya kuuza chenji hairuhusiwi kisheria, kwa kuwa shughuli hiyo inapaswa kufanywa na benki pekee. Ufafanuzi huo umetolewa leo bungeni mjini Dodoma baada ya Mbunge wa Mji Mkongwe, Muhammad Ibrahim Sanya (CUF) kutaka Serikali kudhibiti biashara ya uuzaji wa chenji inayoendelea nchini.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Stella Nyemenohi,Dodoma
  • Imesomwa mara: 175

Noah ruksa kubeba abiria

BAADA ya kilio cha muda mrefu cha baadhi ya wasafirishaji, Serikali imeruhusu magari aina ya Noah kubeba abiria nchini. Serikali imeiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), kutoa leseni hizo kwa masharti, kwa sababu magari hayo hayakuwa yameundwa kubeba abiria.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Mgaya Kingoba, Dodoma
  • Imesomwa mara: 336