Kuchimba mtaro

Mafundi ujenzi wakichimba na kumwaga udongo kutoka katika mtaro Mtaa wa Azikiwe na Samora kwenye Picha ya Askari Jijini Dar es Salaam jana, utakaotumika kuweka bomba la majitaka. (Picha na Yusuf Badi).