Kumkaribisha mjumbe

Rais John Magufuli akimkaribisha Mjumbe Maalumu wa Rais wa Nigeria, Profesa Ibrahim Gambari ambaye alifika Chato mkoani Geita kuwasilisha salamu za Rais Muhammadu Buhari. (Picha na Ikulu).