Kufurahia jambo

Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume akifurahia jambo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati Waziri Mkuu alipomtembelea nyumbani kwake Maisara, Zanzibar jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).