Kukagua-mfumo

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula (kushoto) akikagua mfumo wa kielektroniki wa ukadiriaji na ulipaji kodi ya ardhi katika Wilaya ya Iringa Mjini mkoani Iringa alipotembelea kufuatilia utendaji wa sekta ya ardhi. Anayetoa maelezo ya ufanyaji kazi wa mfumo huo ni Ofisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Shadrack Haule. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini, Richard Kasesela. (Na Mpigapicha Wetu).