Kuzindua barabara

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua barabara ya Mwanakwerekwe hadi Fuoni, yenye urefu wa kilomita 4.1 iliyopo Zanzibar jana. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Ali Karume. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).