Jiwe la msingi

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi kwenye mradi wa nyumba 252 za makazi zinazojengwa na Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) zilizopo Mbweni, Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).