Ziara ya mafunzo

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kondoa iliyopo wilayani Kondoa Mkoa wa Dodoma wakiwa katika ziara ya kimafunzo bungeni mjini Dodoma. (Picha na Mroki Mroki).