19Juni2013

 

Maonyesho ya Tanzania home expo

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Anthony Grant(Kushoto) akisalimiana na Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya Tanzania Home Expo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Katikati ni Mkuu wa Idara ya kibenki ya Wateja wadogo, Ramakrishna Rao. (Na Mpigapicha Wetu).