Zawadi kwa balozi
- Post 14 Juni 2012
Kiongozi wa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini, Ibrahimu Mukiibi (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Balozi wa Msumbiji anayemaliza muda wake, Zacarias Kupela katika sherehe iliyofanyika Dar es Salaam jana.
Kulia ni mke wa balozi huyo, Lucinda Kupela. (Na Mpigapicha Wetu).

