25Mei2013

 

Migiro aagwa rasmi un

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayemaliza muda wake, Dk Asha-Rose Migiro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wa Umoja huo.

Kutoka kulia ni mwakilishi wa Roll Back Malaria, Herve Verhoosel, Katibu Mkuu Ban Ki-moon, Michel Sidibe (UNAIDS) na Naibu Katibu Mkuu, Dk Babatunde Osotimehin (UNFPA) katika hafla ya kumuaga iliyofanyika juzi makao makuu ya Umoja huo, New York, Marekani. (Picha ya Ubalozi wa Tanzania UN).