Teknolojia ya upandaji mpunga
- Post 16 Juni 2012
Veronica Urio (kulia) akionesha shamba lake la mpunga kwa Ofisa Uchumi wa Ubalozi wa Marekani nchini, Tabari Dossett (wa tatu kulia); Rais wa Chama cha Watumiaji Maji cha Uwawakuda, George Iranga, (wa pili kulia); na kiongozi wa Timu ya Feed the Future USAID/Tanzania, Tom Hobgood (kushoto).
Mkulima huyo alipata mafunzo yake chini ya mradi wa Feed the Future Value Chain juu ya teknolojia ya upandaji ili kuongeza mavuno ya mpunga shambani mwake, Dakawa, Morogoro. (Picha ya Ubalozi wa Marekani).

