19Juni2013

 

Uhamasishaji matibabu ya fistula

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimfurahia mtoto wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji wa Matibabu ya Fistula kwa wanawake nchini.

Anayeshuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya CCBRT, Dk Wilbrod Slaa. (Picha na Mwanakombo Jumaa wa Maelezo).