KINARA WA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII AKAMATWA JIJINI DAR

Kikosi Maalum cha Kupamba na na uhalifu kwa njia ya Mitandao cha Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam, kimefanikiwa kumkamata mtuhumiwa OMARY ABEDI BAKARI (23).

Omary Abedi Bakari ni mwanafunzi wa zamani wa University of Dar Es Salaam Computing Center (UCC) iliyopo Mbezi, aliyefukuzwa kazi na mkazi wa maeneo ya JKT Mgulani Quotes.