Ujenzi barabara za juu Ubungo waiva

WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) wametiliana saini na Kampuni ya M/S China Civil Engineering Construction Cooperation ya China (CCECC) kwa ajili ya mkataba wa ujenzi wa barabara za juu katika makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Mandela eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam, unaotarajiwa kugharimu zaidi ya Sh bilioni 177.4.

Add a comment