Shule za umma 792 zaboreshwa

SERIKALI kupitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMII), imekamilisha kuboresha shule za sekondari za umma 792 nchini. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (Tamisemi), Selemani Jafo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Zainabu Katimba (CCM), aliyetaka kujua serikali ina mkakati gani kuboresha mazingira ya kujifunzia.

Add a comment