Ifahamu taaluma ya Ukalimani

UKALIMANI kama taaluma unashika kasi sana siku hizi tofauti na ulivyokuwa hapo zamani. Ukalimani na uhusiano vinakwenda sambamba na kasi ya utandawazi. Kasi ya ukalimani katika karne hii ya 21 inatokana na kupanuka kwa uhusiano baina ya mtu na mtu, jamii na jamii, taifa na taifa, hivyo kuhitajika kuwa na mawasiliano kijamii, kisiasa, kiutamaduni na kibiashara.

Add a comment

‘Tanzania ya viwanda haiji kwa kufumba na kufumbua’

HIVI karibuni, katika gazeti hili ilichapishwa habari yenye kichwa cha habari ‘Tanzania yaanza kung’ara sekta ya viwanda’. Habari hiyo ambayo Mei 18 pia ilichapishwa kwenye tovuti ya gazeti hili http://www.habarileo.co.tz/, ilitokana na taarifa ya Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2017/18.

Add a comment