Siasa za uanaharakati zina hasara zake

WAKATI anarejea tena rasmi CCM Julai 23 mwaka jana, Fred Mpendazoe, Mbunge wa zamani wa Kishapu (CCM), alisema maneno haya akiutangazia umma wa Watanzania: “Nilipoingia Chadema, nikawa ninawapa mawazo yangu, wakawa wanapuuza tu. Wakawa wanauliza, kwani huyu ameshapelekwa rumande mara ngapi? Baadaye nikasikia (wanavyosema), nikasema, mimi sijawahi kwenda rumande.

Add a comment