‘Hotuba ya Trump iizindue Afrika kushirikiana zaidi, kujitegemea’

WAKATI Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump akiwa ameapa na kuanza rasmi safari ya miaka minne ya kulitumikia taifa hilo kubwa duniani, wasomi waliobobea katika masuala ya siasa wamewataka Watanzania na nchi za Afrika kurejea wosia wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere wa kutaka nchi kujitegemea na kuungana kama nchi masikini ili kulinda masilahi na uhuru wa nchi.

Add a comment

Miaka 10 ya Habarileo

WAKATI gazeti hili linaanza kufika katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga miaka 10 iliyopita, wauzaji magazeti wanasema baadhi ya watu walilibeza, wengine wakisema kuwa ni la msimu kama yanavyoanzishwa mengine ambayo yamekuwa hayadumu kwa muda mrefu kabla ya kuondoka katika soko.

Add a comment