‘Afrika iepuke kukumbatia kilimo cha kemikali’

“BARA letu linaendelea kutumia dola bilioni 35 kila mwaka kuingiza vyakula. Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kwamba tunaweza kuzalisha asilimia 130 za mahitaji yetu ya chakula. Nadhani ni ujinga kabisa kwamba bara tajiri kama Afrika linatumia kiasi hicho cha dola kuzalisha ajira mahali kwingine,” anasema Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Kanayo Nwanze.

Add a comment

Tetemeko la ardhi lilivyotokea Kagera

SEPTEMBA 10, mwaka huu, saa 9 na dakika 27 mchana kulitokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Kitovu cha tetemeko hilo ni kwenye makutano ya latitudo 10 06’ na longitudo 31055’, eneo ambalo ni kilomita 20, Kaskazini Mashariki mwa Kijiji cha Nsunga na kilomita 42 Kaskazini Magharibi mwa mji wa Bukoba. Kitovu hicho kilikuwa kilomita 10 chini ya ardhi kwenye eneo hilo.

Add a comment