TBS Kutenga bajeti ya michezo

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limesema litaendelea kutenga bajeti ya kutosha kuhakikisha linakuwa na uwakilishi katika michezo inayohusisha mashirika ya umma na taasisi binafsi (SHIMMUTA), ili pamoja na kujenga uhusiano na watendaji wengine, lipenyeze elimu kuhusu viwango vya ubora wa huduma na bidhaa, kwa washiriki wa michezo hiyo.

Add a comment