Yanga kazi moja leo

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu bara, Yanga leo watakuwa wenyeji wa Ruvu Shooting katika mechi itakayochezwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga inaingia uwanjani na hasira baada ya kupoteza mechi yake iliyopita kwa kufungwa mabao 2-1 na Simba mwishoni mwa wiki iliyopita.

Add a comment