18Juni2013

 

Kama Mzazi: Natamani kutafiti shule wanazosoma watoto wa vigogo

WIKI hii napenda kuanza kwa kupongeza nia njema ya serikali za Tanzania na Uingereza kuimarisha ufundishaji wa lugha ya Kiingereza katika shule zetu za msingi na sekondari.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Nicodemus Ikonko
  • Imesomwa mara: 58

Kama Mzazi: Unafuatiliaje usafiri wa shule wa mwanao?

KATIKA safu hii nimeshalizungumzia suala kuhusu sisi wazazi kufuatilia maendeleo ya watoto wetu mashuleni, kwa maana ya kila mara kukagua madaftari yao na kuzungumza na walimu wao kujua maendeleo yao mara kwa mara na kuachana na fikra potofu kwamba ukishawakabidhi walimu mwanao, basi kazi umemaliza.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Nicodemus Ikonko
  • Imesomwa mara: 191

VIJANA: Wenzetu wanakimbia, tuamke

BILA shaka upo salama, hongera kwa starehe za hapa na pale, kama una matatizo tumia busara na maarifa kuyatatua, omba utapewa, tafuta utapata, na usikate tamaa.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Basil Msongo
  • Imesomwa mara: 235

NDIMI ZA MLALAHOI: Masikini Ngweha!

NIUNGANE na wapenzi wa muziki unaoitwa wa kizazi kipya, kuomboleza kifo cha msanii Albert Mangweha a.k.a. Ngwea, Ngwair nakadhalika.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Joseph Kulangwa
  • Imesomwa mara: 288

JARIDA LA WANAWAKE: Jitokezeni kuchangia maoni Rasimu ya Katiba

WANAWAKE wanatakiwa kujitokeza kwa wingi katika mabaraza ya Katiba na kutoa maoni kwa ajili ya kutetea watoto na wanawake ili kupata Katiba inayozingatia haki sawa kwa wote.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Kaanaeli Kaale
  • Imesomwa mara: 189

POROJO ZA ANKO SAGATI: Askari Jeshi anapomshushia kipigo polisi

TUKIWAONA huko mitaani kwetu tunajua wote hao ni walinzi wa umma ila wana mgawanyiko tu wa majukumu wakiwa chini ya Dola.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Shadrack Sagati
  • Imesomwa mara: 113