Tukio la mwanafunzi Mbeya halivumiliki

MWISHO wa wiki umefika na kama kawaida hakuna wiki inayomalizika bila kuwa na jambo, maana dunia hii imejaa hekaheka nyingi sana. Wiki hii imemalizika kwa tukio la kusikitisha na la aibu kwa taaluma ya walimu baada ya kusambaa kwa video inayoonesha walimu watano wakimshambulia kwa fimbo, mateke, ngumi na vibao mwanafunzi wa Kidato cha Tatu katika Shule ya Sekondari ya Mbeya.

Add a comment