Elimu uzazi wa mpango iwe endelevu

Elimu ya uzazi wa mpango iwe endelevu MATOKEO ya utafiti kwamba matumizi ya njia za kisasa na za asili za uzazi wa mpango hapa nchini yameongezeka, hayana budi kupongezwa kwa kila hali kutokana na ukweli kwamba pasipo na uzazi wa mpango, uwezekano wa kukabiliana na changamoto za maadui watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini utakuwa vigumu kufanikisha.

Add a comment