Wamiliki wa silaha kuweni makini

KATIKA Gazeti hili toleo la jana, tuliandika habari iliyoanzia ukurasa wa kwanza ikisema, “Polisi yadaka mwanafunzi akiuza bastola, risasi 13.” Habari hiyo ikasema, Jeshi la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph, Lewis Mbise (23) kwa tuhuma za kukutwa na bastola aina ya Luger cz 100 ikiwa na risasi 13.

Add a comment