20Juni2013

 

Vyama vya siasa visigeuke vyombo vya Dola

HIVI karibuni nchi imekumbwa na matukio ya kustaajabisha ya milipuko ya mabomu yaliyosababisha vifo na majeruhi nchini hususan katika Mkoa wa Arusha.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko
  • Imesomwa mara: 60

Jengo lililoamuriwa kuvunjwa livunjwe sasa

IMEKUWA kama hadithi sasa kuhusu uvunjwaji wa jengo pacha la ghorofa 16 lililoamuliwa kuvunjwa, na hivyo kujengeka hofu kubwa kwa wakazi na wafanyabiashara wa eneo jirani na lilipo jengo hilo katika barabara ya Indira Gandhi, Dar es Salaam.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Regina Kumba
  • Imesomwa mara: 85

Ushauri wa kusitisha uwindaji halali ni mwafaka

TANZANIA ni moja ya nchi zinazojivunia kuwa na kiwango kikubwa cha utajiri wa maliasili, ikiwamo ya wanyamapori. Takwimu zinaonesha kuwa nchi ya pili Afrika kuwa na tembo wengi, ikitanguliwa na Ethiopia.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Gloria Tesha
  • Imesomwa mara: 61

Hongera Wizara kwa kuibua elimu ya haki za binadamu

HIVI karibuni Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imezindua mpango mkakati wa elimu ya haki za binadamu, ambao utaanza kufundishwa katika ngazi zote za elimu nchini.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Shadrack Sagati
  • Imesomwa mara: 100

Waosha vioo vya magari barabarani wazuiwe

NAJUA vijana na watoto wanaosafisha vioo vya mbele vya magari katika foleni barabarani za mijini hususan Dar es Salaam, wanafanya hivyo ili kujipatia fedha kwa ajili ya matumizi yao.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Namsembaeli Mduma
  • Imesomwa mara: 142

Simba, Yanga zinaweza kwenda Darfur

JANA Serikali imeamua kuziruhusu klabu za Yanga na Simba kwenda kushiriki kwenye michuano ya Kombe la Kagame.

Soma zaidi...

  • Imeandikwa na Betram Lengama
  • Imesomwa mara: 195