Programu Maalum ziundwe kusaidia wanafunzi wasiofikia wastani

HAKIKA ni jambo la kawaida kwa shule binafsi au zile zinazomilikiwa na taasisi za dini kuwa na wastani kwa wanafunzi wanaosoma katika shule hizo inayowapasa kufikia kabla ya kuingia darasa lingine kwa lengo la kuhakikisha wanakuwa na wanafunzi wa kiwango fulani ambao mara nyingi katika mitihani ya darasa la saba, kidato cha nne na hata cha sita wanatoka na ufaulu mzuri.

Add a comment