Mnangagwa kuapishwa leo
RAIS wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa anatarajiwa kuapishwa leo kwa muhula wa pili wa nafasi ya urais.
–
Kiongozi huyo alishinda uchaguzi kwa kupata asilimia 52.6% ya kura katika uchaguzi wa rais
–
Mnangagwa amemualika rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, katika uapisho wake.
–
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa naye anatarajiwa kuhudhuria halfa hiyo ya uapisho itakayofanyika uwanja wa taifa wa Zimbabwe