Simba sasa nafasi ya pili

BAADA ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wydad Casablanca, Simba imesogea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mabao ya Simba yamefungwa na Willy Onana katika kipindi cha kwanza.

Ushindi huo umeisogeza Simba nafasi ya pili ikiwa na pointi 5, huku Asec Mimosas akiongoza kwa pointi 7.

Advertisement

Asec ataingia uwanjani usiku huu kuvaana na Jwaneng galaxy

2 comments

Comments are closed.