Rais Samia amteua Hawa Ghasia

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri wa zamani wa TAMISEMI na mbunge mstaafu, Hawa Ghasia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Shirika la Masoko Kariakoo.

Taarifa ya Ikulu imesema uteuzi huo unaanza mara moja.

Habari Zifananazo

Back to top button