Dk.Shein aongoza Kikao Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo Septemba 20, 2022.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar na kuhudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi

na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  Hemed Suleiman Abdulla.

Habari Zifananazo

Back to top button