Tanzania yaelezea uzoefu wake wa kidijiti Uswisi

GEVEVA, USWISI: Mkutano wa kwanza wa Bodi ya Ubunifu wa Kidijitali ya Shirika la Mawasiliano duniani (ITU) umefanyika jijini Geneva, Uswisi huku Tanzania ikitumia fursa hiyo kuelezea uzoefu kwenye masuala ya ubunifu wa kidigiti. Katika Mkutano huo, Tanzania imewakilishwa kikamilifu na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dk Jabiri Bakari, mkurugenzi mkuu wa … Continue reading Tanzania yaelezea uzoefu wake wa kidijiti Uswisi