DAR ES SALAAM; KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, anatarajia kuanza ziara katika baadhi ya majimbo Chalinze na Kibaha Vijijini mkoani Pwani kuanzia Juni 14, 2024.
–
Kwa mujibu wa taarifa ya chama hicho, katika ziara hiyo, Ado atatembea kata kwa kata kuzungumza na viongozi na wanachama kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Home Katibu ACT Wazalendo ziarani Pwani