Abiria 26 precision air wanaendelea na matibabu – RC Chalamila

MKUU wa Mkoa wa Kagera Alberth Chalamila amesema abiria 26 kati ya 43 waliookolewa wanapokea huduma za kitabibu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera na kwamba hali zao zinaendelea vizuri.

Chalamila amesema juhudi za uokozi bado zinaendelea.

Tuna mawasiliano na walioko majini na juhudi za uokozi zinaenda vizuri. Tuna bahati ni ziwa na angalau tumeweza kuwaona hao waliookolewa tayari vinginevyo tungekuwa tunaongea habari nyingine,” alisema Chalamila.

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *