ACT-Wazalendo yajipanga kushiriki uchaguzi kwa amani

ZAZNIBAR; Chama cha ACT-Wazalendo kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa amani, licha ya kupinga kura ya mapema itakayofanyika Zanzibar siku moja kabla ya uchaguzi mkuu. Akifungua kikao cha Kamati kuu ya chama hicho (Zanzibar), kinachofanyika Afisi Kuu, Vuga mjini hapa, Makamu Mwenyekiti wa Taifa, Ismail Jussa, amesema chama hicho kinataka uchaguzi … Continue reading ACT-Wazalendo yajipanga kushiriki uchaguzi kwa amani