AFCON 2027 kupigwa Afrika Mashariki
BREAKING NEWS: Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa fainali za kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2027.
–
Mataifa hayo ya Afrika yamezishinda Misri, Senegal, Botswana na Algeria.