Agness Kahamba ‘Aggybaby’ mwigizaji bora wa kike Tanzania 2025

DAR ES SALAAM: Msanii wa Muziki na Maigizo, Agness Suleiman Kahamba maarufu kama ‘Aggybaby’ amepokea Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 kutoka Achievers Awards International ya nchini Nigeria.

Tuzo hiyo imetokana na kazi zake za sanaa ya uigizaji na shughuli zake za huduma kwa jamii kupitia taasisi yake Tupaze Sauti Foundation (Tanzania).

Waandaaji wa tuzo hizo wametambua kazi nzuri anayoifanya mwanatasnia Agness katika sekta ya filamu hususani kupitia tamthiliya za “Panguso”, “Huba” na kazi zake nyingine za filamu katika mtandao wa YouTube.
Tuzo hii ni alama ya ushirikiano wa kifilamu uliodumu kwa muda mrefu kati ya Tanzania na Nigeria. Agness amebainisha kwamba waandaaji wa tuzo hizo wanavutiwa sana na filamu kutoka Tanzania kipekee wautaja utamaduni wetu, amani na ushirikiano unaooneshwa katika filamu zetu kuwa alama ya utu wa mwafrika akinasibisha yale wanayoyaona kupitia tamthiliya ya “Kombolela”.

Leo, Jumatatu Oktoba 13, 2025, Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Dk Gervas Kasiga (PhD) amekutana na kufanya mazungumzo na mwatasania wa filamu na michezo ya kuigiza nchini Agness Suleiman Kahamba.

Pia Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dk Gervas Kasiga (PhD) amempongeza Agness kwa juhudi zake za kufanya kazi bora za filamu na kwa kuiwakilisha vyema Tanzania katika majukwaa ya filamu kimataifa.

Aidha, Dk Kasiga (PhD) amemsihi Agness kuendelea kufanya kazi zake za sanaa kwa ubunifu na weledi mkubwa ili kuutangaza vyema utamaduni wetu wa Kitanzania ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.




I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com
Make money while staying at home and working online. I just received $23,783 for my work last month, and I was doing this part-time. This year, I plan to earn even more, and I believe you can also make extra cash from this job. To join right now, follow the details on this website.
Open This… http://Www.Work99.Site
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→ http://Www.Payathome9.Com