RAIS wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amesema taifa hilo lina muda wa mwaka mmoja kuliondoa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab
–
Agizo hilo limekuja huku muda wa mwisho wa wanajeshi waliosalia wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika kuondoka ukikaribia mwezi Disemba.
–
Mohamud, akihudumu muhula wake wa pili kama rais, alisema mwezi Agosti alitaka kuuondoa mapema kufikia mwaka ujao.
–
“Mwisho ni Disemba 2024 wakati vikosi vyote vya ATMIS (vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Afrika) vinapaswa kuondoka nchini,” Mohamud aliiambia.
Home Al-Shabab kuondolewa Somalia