MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba atakuwa miongoni mwa wasinii watakaotumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa mashindano ya African Football League Ijumaa hii uwanja wa Mkapa.
–
Ofisa habari na mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ametoa kauli hiyo leo alipozungumza na Azam TV.
–
“Yah Ali Kiba atakuwa mmoja ya watumbuizaji.” amesema Ahmed.
–
Ufunguzi wa michuano hiyo itafanyika Ijumaa kwa mchezo mmoja wa Simba SC dhidi ya Al-Ahly.
Home Ali Kiba kutumbuiza AFL uwanja wa Mkapa
Comments are closed.