Arsenal amaliza raundi ya kwanza kileleni

RAUNDI ya kwanza ya Ligi Kuu England imekamilika wakati Arsenal ikiwa juu ya msimamo wa ligi hiyo kwa pointi 40.

Raundi hiyo imekamilika kwa michezo 18, ambapo raundi ya pili itachezwa michezo yenye idadi hiyo pia.

Liverpool inafuata nafasi ya pili ikiwa na pointi 49, sawa na Aston Villa wakiwa na tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Ligi hiyo itandelea Jumanne hii. Tazama msimamo kamili chini.

Habari Zifananazo

Back to top button