Arusha mguu sawa UMISSETA Taifa

ARUSHA: MKOA wa Arusha umekamilisha maandaalizi yake kwa ajili ya mashindano ya kitaifa ya Umoja michezo kwa shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) yanayotarajiwa kuanza kuchezwa Juni 19 hadi 30 mwaka huu mkoani Iringa. Jumla ya wachezaji 120 ambao ni wasichana na wavulana wamechaguliwa kuunda timu ya mkoa ya UMISSETA ambayo tayari iko kambini kwa ajili … Continue reading Arusha mguu sawa UMISSETA Taifa