Askari wanafunzi 186 wafukuzwa, 4122 wakihitimu moshi

askari 4122 wahitimu mafunzo ya awali

JUMLA ya Askari 4,122 kati ya wanafunzi 4,310 wamehitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo Agosti 25, 2022.

Taarifa iliyotolewa leo na Jeshi la polisi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni imesema askari 186 waliachishwa mafunzo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu.

 

Advertisement