Aucho aongeza miaka miwili Yanga

Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumika timu hiyo, mkataba huo utamalizika mwaka 2025.

Augost 9, 2021 Yanga ilimtambulisha kiungo huyo raia wa Uganda, kama mchezaji wao akitokea klabu ya Misr Lel Makkasa SC ya nchini Misri.

Habari Zifananazo

Back to top button