Mwandishi Wetu

Tanzania

Wadau wajadili maendeleo mradi wa RISE

TIMU ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia (WB), Shirika la Kimataifa la Kazi (ILO), Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Menejimenti ya Wakala…

Soma Zaidi »
Featured

Kampeni kufuta taarifa za kizushi iwe endelevu

KATIKA dunia ya sasa yenye kasi kubwa ya teknolojia, mawasiliano yamekuwa rahisi kupitia simu janja, mitandao ya kijamii na majukwaa…

Soma Zaidi »
Afya

Mradi wa bil 96/- wazinduliwa kukabili magonjwa ya mlipuko

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amezindua mradi wa dunia wa kukabiliana na magonjwa ya mlipuko…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Samia atuma salamu za pole kifo cha Odinga

RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa watu wa Kenya kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa…

Soma Zaidi »
Tahariri

Tumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kudumisha amani, umoja wa kitaifa

JANA taifa liliadhimisha miaka 26 tangu kuondokewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ambaye alijijengea heshima kubwa ndani na…

Soma Zaidi »
Featured

TCRA yahimiza umakini kulinda amani, umoja

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema ni muhimu vyombo vya habari na wananchi walinde umoja, amani na mshikamano wa taifa,…

Soma Zaidi »
Infographics

Dk Mpango: Tulinde amani kumuenzi Nyerere

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema ni muhimu Watanzania walinde amani kumuenzi Baba wa Taifa, Julius Nyerere. Dk Mpango…

Soma Zaidi »
Tanzania

Nyerere na teknolojia kama msingi wa uchumi wa kujitegemea

IKIWA imepita miaka 26 tangu kifo cha Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere bado viongozi wa Tanzania wanaendelea…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dhamira ya Nyerere na chimbuko la Azimio la Arusha

“HISTORIA ya Tanzania haiwezi kukamilika bila kutambua mchango wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere katika azma yake ya kuanzisha,…

Soma Zaidi »
Featured

Mpango ahimiza Watanzania kufuata mema ya Baba wa Taifa

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amewasihi Watanzania kuendelea kumuombea Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili aendelee…

Soma Zaidi »
Back to top button