Kulthum Ally

Featured

Beatrice ang’ara, Top 5 Miss Grand 2025

MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International 2025 yaliyomalizika nchini Thailand, Beatrice Alex Akyoo, amefanikiwa kupeperusha vyema bendera…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yajipanga kuzalisha nguvu kazi

SERIKALI imepongeza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa kuandaa mkutano muhimu kwa kushirikiana na Wizara ya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Rais Mwinyi: Tuilinde Amani Yetu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kudumisha amani ni jukumu la kila…

Soma Zaidi »
Africa

Ida Odinga aitisha amani kumuenzi Raila

MJANE wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, Mama Ida Odinga, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu kifo…

Soma Zaidi »
Jamii

SUA yapata miradi 36 yenye thamani Bil.10.5

CHUO  Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA ) kimeeleza kuwa hadi kufikia Oktoba mwaka huu  miradi mipya ya utafiti 36…

Soma Zaidi »
Afya

Wataalamu wa usingizi wapewa sifa KCMC

HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) imeungana na dunia kuadhimisha Siku ya Usingizi na Ganzi Tiba Duniani kwa…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Banda la Mama waita vijana kupiga kura

MRATIBU wa kampeni ya Banda la Mama, Mhandisi Aivan Maganza, ametoa wito kwa Watanzania na vijana wa vyama vyote kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Samia asimamia miradi ya kimkakati

MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amewaondoa hofu…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Tanzania yajitosheleza kwa chakula

MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema hatua kubwa zilizochukuliwa na Serikali chini…

Soma Zaidi »
Africa

Raila aagwa Kitaifa kwenye ibada maalum

WAKENYA kutoka maeneo mbalimbali ya nchi hii leo, Ijumaa, wamefurika katika Uwanja wa Michezo wa Nyayo, Jijini Nairobi, kushiriki ibada…

Soma Zaidi »
Back to top button