Sylvester Domasa

Featured

2023: Idadi ya Watanzania yafika milioni 63.6

DODOMA – Idada ya watu nchini Tanzania ilikadiriwa kufikia 63,670,531 mwaka 2023 ikiwa ni ongezeko la asilimia 3.1 ukilinganisha na…

Soma Zaidi »
Bunge

Deni la Taifa lafikia Sh trilioni 91.7

Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema deni la taifa limeongezeka na kufikia Sh trilioni 91.7 hadi Machi…

Soma Zaidi »
Biashara

Serikali: Gharama za manunuzi zilishuka 2023

Gharama za manunuzi nchini Tanzania zilipungua kwa wastani wa asilimia 3.8 mwaka 2023 ikilinganishwa na asilimia 4.3 mwaka 2022, Waziri…

Soma Zaidi »
Featured

Uchumi wa Tanzania wakua kwa asilimia 5.4

Serikali imesema mikakati ya kukabiliana na athari za vita katika eneo la Ukraine pamoja na uwekezaji katika sekta za kilimo,…

Soma Zaidi »
Africa

Ndege yapotea ikiwa na Makamu wa Rais Malawi

Ndege ya kijeshi iliyombeba Makamu wa Rais wa Malawi na watu wengine tisa imepotea, na jitihada za utafutaji zinaendelea, ofisi…

Soma Zaidi »
Featured

LATRA yatangaza bei Daraja la Kawaida SGR

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli za abiria wa daraja la kawaida kwa Treni ya Reli ya Kisasa…

Soma Zaidi »
Featured

Basi la Shabiby lapata ajali Morogoro

MOROGORO – Basi la Kampuni ya Shabiby lenye namba za usajili T 341 EEU limepata ajali leo asubuhi Mei 25,…

Soma Zaidi »
Afya

TNMC yawasimamisha tisa kutoa huduma

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limewasimamisha wauguzi na wakunga tisa na kutoa onyo kwa wengine nane baada ya…

Soma Zaidi »
Asia

Mapya yaibuka kuhusu Mkutano wa Uswisi wa Amani

Uswisi imetangaza kuwa imealika zaidi ya wajumbe 160 kutoka duniani kote kushiriki katika mkutano wa amani wa Ukraine mnamo Juni…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mbappe & Vini Jr.: Mechi Itachezwa Mbinguni au Kuzimu kwa Real Madrid?

HISPANIA: Hebu wazia vichwa vya habari: Mbappe na Vinicius Mdogo, wakisambaratisha ulinzi pamoja! Inaonekana ushindi wa uhakika, sivyo? Naam, shikilia…

Soma Zaidi »
Back to top button