Na Mwandishi Wetu

Tanzania

Bilionea Mustafa Sabodo afariki Dunia

DAR ES SALAAM: Bilionea na Mchumi maarufu nchini, Mustafa Jaffer Sabodo amefariki Dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwakwe, Masaki jijini…

Soma Zaidi »
Africa

Mchekeshaji Mr Ibu Afariki Dunia

LAGOS, Nigeria: Mchekeshaji na Mwigizaji mkongwe kutoka Nollywood, John Okafor ama Mr Ibu, amefariki dunia usiku huu akiwa na umri…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mzee Mwinyi afariki Dunia akiwa na miaka 98

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza siku saba za maombolezo Mzee Mwinyi alikuwa akisumbuliwa na saratani ya mapafu

Soma Zaidi »
Siasa

Muswada wa uchaguzi ‘watuliza’ wanasiasa

Wasema umepatia ufumbuzi matakwa yao Biteko asema ni mwanzo wa maridhiano ya nchi

Soma Zaidi »
Tahariri

Tutoe maoni bila jazba miswada ya sheria ya uchaguzi, vyama vya siasa

KATIKA mojawapo ya falsafa zake za R nne za Rais Samia Suluhu Hassan, zipo mbili zinazozungumzia kuhusu mariadhiano na mageuzi.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia apongezwa utashi wa kisiasa, falsafa yake ya R4

RAIS Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kuonesha ujasiri na utashi wa kisiasa kwa kuwa tayari kuboresha demokrasia na kutengeneza mazingira…

Soma Zaidi »
Kanda

‘Aliyekataa uteuzi’ asimamishwa kazi

DAR ES SALAAM: Tume ya Utumishi ya Walimu (TSC) imemsimamisha kazi aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania…

Soma Zaidi »
Amerika

Mwanaume aliyefariki miaka 128 iliyopita hatimaye kuzikwa

READING, Marekani: Mwanaume mmoja aliyefariki miaka 128 iliyopita na mwili wake kusalia katika jumba la huduma ya mazishi huko Reading,…

Soma Zaidi »
Siasa

Jokate – Nimejipanga kushirikiana na viongozi, wanachama

KOROGWE, Tanga: Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Jokate Mwegelo amesema ameupokea kwa unyenyekevu mkubwa na…

Soma Zaidi »
Amerika

Kanisa laporomoka na kuua tisa wakati wa Ibada

MEXICO: Takriban watu tisa – wakiwemo watoto watatu – wameuawa na makumi wengine wakibaki wamenasa kwenye vifusi baada ya paa…

Soma Zaidi »
Back to top button