Na Aveline Kitomary

Afya

Waonywa matumizi ya kinga zilizoisha muda

MTAALAMU wa uchunguzi vifaa tiba katika Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA) Jovin George amesema utumiaji wa kinga zilizoisha…

Soma Zaidi »
Podcast

HABARI Kuu Septemba18, 2023

HabariLeo inakueletea mkusanyiko wa habari zlizojiri leo katika dawati letu

Soma Zaidi »
Diplomasia

Dk Mpango awasili Marekani

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango leo amewasili New York Marekani kumuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wachezaji 12 Chelsea majeruhi

Mambo yanazidi kuwa magumu Chelsea, ambapo mpaka sasa idadi wa wachezaji 12 wa kikosi hicho ni majeruhi. – Wachezaji hao…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Bissaka nje wiki kadhaa

BEKI wa Manchester United, Aaron Wan-Bissaka atakuwa nje ya uwanja baada ya kupata majeraha katika mchezo wa Jumamosi dhidi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia aweka jiwe la msingi barabara Nachingwea

RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi ujenzi wa Barabara ya Nachingwea–Ruangwa – Nanganga sehemu ya Ruangwa- Nanganga (km…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Watu 17 wafa maporomoko ya udongo Lisala

WATU 17 wameuawa katika maporomoko ya udongo huko DR Congo. – Maafa hayo yalitokea usiku wa kuamkia Jumapili karibu na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Nguvu ya pamoja yatakiwa maadili kwa watoto

MKUU wa Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Grace Kingalame amewataka wazazi au walezi kuunganisha nguvu na walimu wa watoto wao…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakulima wapata Sh bilioni 32 mauzo mbaazi

WAKULIMA wa zao la mbaazi ghafi mkoani Lindi wamepata Sh bilioni 32.8 msimu huu. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Ajali yaua 20 Limpopo

TAKRIBANI watu 20 wamefariki nchini Afrika Kusini baada ya kutokea ajali barabarani katika jimbo la kaskazini la Limpopo. Waathirika wa…

Soma Zaidi »
Back to top button